Wakenya washinda kufua dafu katika mbio za masafa marefu, huku Waethopia wakionesha uhodari wao na wanariadha wa Afrika kutoonekana huko London.
Afrika yawika katika riadha Olympiki
9
Muafrika Kusini Oscar Pistorius, kushoto, na Mjamaica Rusheen McDonald wakimaliza mchugo wa mbio za mita 400 wakati wa micehzo ya riadha kwenye uwanja wa Olympic Stadium, London, August 4, 2012.
10
Olympics Boxing DR Congo
11
Andy Murray wa Uingerezqa akisherekea ushindi wake baada ya kumshinda bingwa wa dunia wa mchezo wa tenis Roger Federer katika finali na kujinyakulia medali ya dhahabu.
12
Michael Phelps akionesha medali yake ya dhahabu katika uwogeleaji wa mita 100 mtindo wa kipepeo na kumfanya mchezaji aliyenyakua medali nyingi kabisa ya dhahabu katika historia ya michezo ya Olimpiki, akinyakua jumla ya 18 . (AP Photo/Matt Slocum)