Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 16, 2025 Local time: 23:54

Wafaransa wapiga kura kumchagua rais

Wapiga kura wa Ufransa washirikia katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais Jumapili. Uchunguzi wa maoni unaonesha Rais Nicolas Sarkozy atashindwa na mpinzani wake wa chama cha Socialist Francois Hollande.


Makundi

XS
SM
MD
LG