Disema mosi, watu kote dunia huadhimisha siku hii kwa kuhamasisha juu ya janga la HIV?Ukimi
Siku ya Ukimwi Duniani
5
Dk. Zuhura Sedute msimamizi wa mradi wa HI/Ukimwi wilaya ya Mount Meru Arusha, Tanzania akimhudumia mgonjwa anaishi na virusi vya HIV.
6
Wanajeshi wa jeshi la kujenga taifa Kenya wakisimama mbele ya bango linalo hamasisha kupambanana ukimwi mjini Nairobi.
7
Kina mamamwa kitongoji cha hatari kabisa cha Korogocho Nairobi Kenya wakipata mafunzo ya kujikinga kutokana na kuongezeka vitendo vya ubakaji dhidi ya watu wazima.
8
Mgonjwa wa ukimwi kwenye wadi ya hospitali ya Baphumele huko Afrika kusini, inayowatimu watu wanaoishi na ukimwi.