VOA Express
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
29:59
Machi 22, 2026Je Nifanyeje?
-
29:59
Machi 21, 2026Je Nifanyeje?
-
29:59
Machi 20, 2026Kwa Undani
-
29:47
Machi 20, 2026VOA Express
-
29:46
Machi 19, 2026Kwa Undani
-
29:59
Machi 19, 2026VOA Express