Uingereza yaadhimisha miaka 70 ya utawala wa Malkia Elizabeth

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya watu wamejitokeza katika mji wa London kuhudhuria sherehe za kihistoria za utawala wa Malkia Elizabeth, ambako walionekana kumshangilia alipojitokeza kwenye baraza la kasri ya Buckingham kutoa heshima zake katika gwaride la kijeshi.