Mwanaharakati aeleza changamoto kisiasa zinazowakabili wanawake

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanaharakati nchini Kenya Betty Sharon aeleza sababu zinazopelekea wanawake kuendelea kuwa nyuma nchini Kenya.

Sikiliza mahojiano maalum na mwanamke huyu akifafanua maeneo ambayo serikali inatakiwa ichukue hatua za makusudi kutoa fursa kwa wanawake, ili kuwe na uwiano wa jinsia kati ya wanaume na wanawake.