Maafisa wa DRC wapendekeza kusitishwa mikataba yote iliyosainiwa na Rwanda

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa ngazi ya juu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamependekeza kwa serikali ya Kinshasa kusitisha mikataba yote na jirani yake Rwanda kutokana na madai kuwa majeshi ya Rwanda yameingia nchini na yanaendelea kuwasaidia waasi wa M23.