Jill Biden mke wa rais wa Marekani awasili Nairobi, Kenya kituo cha pili cha ziara ya Afrika

  • Abdushakur Aboud

Mke wa rais wa Marekani Jill Biden awasili Kenya Ijuma Feb 24, kituo cha pili cha ziara yake ya Afrika

Mke wa rais wa Marekani Jill Biden akikaribishwa Nairobi Kenya.

Mke wa rais wa Marekani Jill Biden akaribishwa na mwenzake wa Kenya Rachel Ruto na wanatumbwizwa na  wacheza ngoma za kienyeji kwenye uwanja wa ndege wa Nairobi.

Mke wa rais wa Marekani Jill Biden akisalimiwa na wanafunzi, alipotembelea chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia mjini Windhoek, Namibia.

Mke warais wa Marekani Jill Biden azungumza na mtoto kwenye mradi unaogharimiwa na Marekani wa PEPFAR karibu na Windhoek mji mkuu wa Namibia.

Mke wa rais wa Marekani Jill Biden akisalimaiana na wakazi wa kitongoji karibu na mji mkuu wa Windhoek, Namibia.

Mke wa Rais wa Marekani Jill Biden azungumza na wananchi wanaopewa huduma kwenye kituo cha afya kwa ajili ya wagonjwa wa Umiwi karibu na Windhoek, Namibia.

 Jill Biden (kati kati) akitembelea kitongoji cha Kibera wakati wa ziara yake ya kwanza Kenya mwaka 2010, wakati mume wake Joe Biden alikua makamu rais. 

Mke wa rais wa Marekani Jill Biden akiwa pamoja na balozi wa Marekani nchini Kenya Meg Whitman akikutana na viongozi wanawake nyumbani kwa balozi alipowasili Nairobi.

Mke wa rais wa Marekani Jill Biden amewasili Nairobi Ijumaa tarehe 24, Februari akiwa katika ziara ya mataifa mawili ya Afrika, Namibia na Kenya akifuatana na mjuku wake Naomi