Mahojiano na msemaji wa waasi wa M23 Mj. Willy Ngoma

Your browser doesn’t support HTML5

Waassi wa M23 wanaopigana na wanajeshi wa DRC wamesema kwamba wataendelea kupigana hadi pale serikali itakapoheshimu makubaliano ya Nairobi. Waasi hao vile vile wamedai kwamba wanapata silaha kutoka kwa jeshi la DRC na wala hawapati msaada kutoka kwa serikali ya Rwanda.