Rais wa Marekani Joe Biden amemkaribisha Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy White House katika ziara ya kushangaza iliyopangwa kupeleka ujumbe kwa Rais wa Russia Vladimir Putin kwamba Marekani itakuwa na Ukraine kwa muda mrefu ujao.
Rais wa Marekani amesema Putin anajaribu kutumia majira ya baridi kama silaha. Endelea kusikiliza repoti kamili...