Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Julai 18, 2024 Local time: 13:40

Siku ya Maji Duniani yaadhimishwa


Taron kolin Shuga Trump da Kim a Singapore
Taron kolin Shuga Trump da Kim a Singapore

Siku ya Jumanne tarehe 22 Machi ndio ambayo dunia huadhimisha siku ya kimatiafa ya Maji. Sherehe hizo hufanyika katika sehemu na nchi mbali mbali duniani licha ya kuwepo na changamoto kubwa ya kupatikana rasilmali hiyo miongoni mwa jamii tofauti.

please wait

No media source currently available

0:00 0:03:30 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Nchini Kenya sherehe kubwa za siku ya Maji Duniani zilifanyika katika mji wa Naivasha ulioko Kaunti ya Nakuru ambapo waziri wa maji wa kitaifa Eugene Wamalwa aliongoza sherehe hizo.

Harrison Kamau wa VOA alifanikiwa kufanya mahojiano na waziri wa maji wa Kaunti ya Nakuru, Bw Richard Rop na kwanza akamuuliza kuhusu siku hiyo muhimu pamoja na changamoto zilizoko. Sikiliza alivyosema.

XS
SM
MD
LG