Katika kipindi cha Dunia ya Wanawake wiki hii mwandishi wetu wa Mombasa Amina Chombo , anaripoti kuhusu mchango wa wanawake katika swala la amani akimuangazia bi Maimuna Siraj ambaye amepokea tuzo mbali mbali kufuatia uanaharakati wa amani kupitia mtandao wa kijamii .
Kuibuka kwa mitandao ya kijamii kunaelezewa ni moja ya mbinu za kueneza amani, ambazo wanawake wanatumia.