Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Novemba 11, 2024 Local time: 01:49

WHO yasema imeidhinisha chanjo  mpya  ya mpox BAVA.CO 


Kichupa cha chanjo ya mpox kinaonekana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya chanjo katika Hospitali Kuu ya Goma, Oktoba 5, 2024.AFP
Kichupa cha chanjo ya mpox kinaonekana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya chanjo katika Hospitali Kuu ya Goma, Oktoba 5, 2024.AFP

Shirika la Afya Ulimwenguni –WHO lilisema Jumatatu kuwa limeidhinisha chanjo  mpya  ya mpox  BAVA.CO  kwa vijana wenye umri wa miaka 12 hadi 17,

Shirika la Afya Ulimwenguni –WHO lilisema Jumatatu kuwa limeidhinisha chanjo mpya ya mpox BAVA.CO kwa vijana wenye umri wa miaka 12 hadi 17, kundi linalotajwa kuwa katika hatari kubwa ya milipuko ya ugonjwa huo ambao umezua wasiwasi ulimwenguni.

WHO ilisema katika taarifa yake kwamba ilitoa kibali cha awali cha chanjo hiyo ya Jynneos kwa vijana Oktoba 8.

WHO ilitangaza mpox kuwa dharura ya afya ya umma duniani kwa mara ya pili ndani ya miaka miwili mwezi Agosti baada ya aina mpya ya virusi kuenea kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hadi kwa majirani zake.

Forum

XS
SM
MD
LG