Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 06, 2022 Local time: 00:38

WFP : Ukosefu wa chakula kuongezeka maradufu Madagascar


WFP : Ukosefu wa chakula kuongezeka maradufu Madagascar
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:07 0:00

Upande wa kusini ya Madagascar unaendelea kukabiliwa na lindi la ukame uliopita kiwango katika miongo minne, hali ya kuwa zaidi ya watu milioni 1.14 wakiwa wanahitaji chakula, kulingana na Shirika la Chakula Duniani (WFP).

XS
SM
MD
LG