No media source currently available
Mbunge ambaye amekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Kwanza mwanamke Somalia hivi sasa anawania kugombea nafasi ya urais hali akifahamu changamoto za kugombea nafasi hiyo katika taifa la Kiislam.