No media source currently available
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amekutana na Rais wa Misri Abdel Fattah el-Sisi katika juhudi za kuimarisha suluhu kati ya Israeli na Palestina.