Mashirika yanaweka kipaumbele wa msaada wa chakula kwa familia nyingi zilizo katika mazingira hatarishi wakati idadi ndogo ya wakimbizi wanaohitaji misaada imeongezeka pamoja na mwanya kati ya rasilmali na mahitaji, huku idadi ya wakimbizi ikiongezeka Afrika Mashariki kufikia milioni 5 hivi sasa.