Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Novemba 29, 2022 Local time: 04:25

Watu 41 wafariki dunia katika ajali Mali


Ajali ya gar Mali Bamako.

Ajali mbaya ya gari wiki hii katika taifa la Mali imeelezewa ni kwasababu ya   hali mbaya ya hewa na hali mbaya ya barabara

Ajali mbaya ya gari wiki hii katika taifa la Mali imeelezewa ni kwasababu ya hali mbaya ya hewa na hali mbaya ya barabara.

Watu 41 walifariki dunia na wengine 33 kujeruhiwa Jumanne wakati basi la abiria na lori lililobeba bidhaa za kilimo zilipogongana katikati mwa Zambougou karibu na mji wa Segou.

Diadji Sacko, mkuu wa Idaraya taifa ya Usalama Barabarani, aliiambia VOA ajali hiyo ilitokea wakati moja ya matairi ya mbele ya lori yalipolipasuka, na kusababisha kugonga basi la abiria.

Janga hilo pia limelaumiwa kusababishwa na mvua kubwa katika barabar ambayo tayariu ilikuwa ni hatari tayari kutokana na maji na utelezi, pamoja mwendo wa kasi.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG