Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Machi 28, 2023 Local time: 20:41

Watu 31,974 wamethibitishwa kufariki kutokana na tetemeko la ardhi Uturuki


Mwanamke aliyekaa juu ya mabaki ya nyumba zilizoanguka baada ya tetemeko la ardhi mjini Nurdagi, kusini mwa Uturuki FEB 7, 2023

Idadi ya watu ambao wamefariki kutokana na tetemeko la ardhi nchini Uturuki imefikia watu 31, 974.

Idhara inayosimamaia majanga ya Uturuki imesema Jumanne kwamba karibu watu 195, 962 wameokolewa kusini mwa Uturuki na kupelekwa sehemu salama.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG