Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 01:22

Watu 30 waokolewa katika Bahari ya Mediterranean


Watu 30 waokolewa katika Bahari ya Mediterranean
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:02 0:00

Mabaharia katika meli ya uokozi wa kibinadamu jana Jiumapili wamefanikiwa kuwaokoa watu 30 waliokuwa katika boti ndogo katika Bahari ya Mediterranean.

Timu ya SOS Mediterranean inasema kati ya wale waliookolewa ni pamoja na mwanamke mmoja na watoto kadhaa. Hivi sasa meli hiyo inawahamiaji 73. Ungana na mwandishi wetu akikuletea habari mbalimbali za dunia. Endelea kusikiliza...

XS
SM
MD
LG