Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 07:06

Wataliano washuhudia mageuzi makubwa katika sanaa Italia


Wataliano washuhudia mageuzi makubwa katika sanaa Italia
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:16 0:00

Wataliano washuhudia kwa mara ya kwanza vipindi vya televisheni ambavyo waigizaji ni Wataliano Weusi wenye asili ya Kiafrika ikiwa ni mageuzi makubwa katika sanaa ambapo sasa inawajumuisha Waafrika.

XS
SM
MD
LG