Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 01, 2022 Local time: 03:01

Wataalam watahadharisha maambukizi mapya wakati wa Thanksgiving


Wataalam watahadharisha maambukizi mapya wakati wa Thanksgiving
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:31 0:00

Kipindi cha Sikukuu ya Thanksgiving bado kinaleta wasiwasi kwa wataalam wa afya kwa sababu kuna idadi kubwa ya watu ambao bado hawajapatiwa chanjo ambapo ni chanzo cha maambukizi na Wamarekani wanasafiri kwa kiwango kile kabla ya COVID-19.

XS
SM
MD
LG