No media source currently available
Baada ya kifo cha George Floyd akiwa anashikiliwa na polisi mjini Minneapolis, Minnesota, Marekani maandamano yameendelea nchini Marekani kulaani vitendo vya polisi.