Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Februari 06, 2023 Local time: 05:35

Wapiga kura wajitokeza kumchagua Seneta, Warnock au Walker?


Wapiga kura wajitokeza kumchagua Seneta, Warnock au Walker?
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:00 0:00

Wapiga kura wa Georgia wanaelekea katika vituo vya kupiga kura katika uchaguzi wa marudio wa kinyang'anyiro cha nafasi ya kiti cha Baraza la Seneti kati ya Mdemokrat Raphael Warnock na mpinzani wake Mrepublikan Herschel Walker.

XS
SM
MD
LG