Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Mei 31, 2023 Local time: 19:31

Wanawake wadai haki katika maendeleo


Wanawake wadai haki katika maendeleo

Wanawake wa Misri wajitokeza kwa wingi katika maadhimisho ya mwaka mmoja ya harakati za mapinduzi na kudai haki zaidi

Katika makala ya wanawake wiki hii tunatupia jicho wanawake wa Misri na kushiriki kwao katika harakati za mapinduzi.

Mamia walijitokeza mjini Cairo katika maadhimisho ya mwaka mmoja tangu mapinduzi yaliyomwondoa madarakani Hosni Mubarak

XS
SM
MD
LG