Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 29, 2023 Local time: 22:37

Wanawake wa DRC wanataka amani idumishwe nchini mwao.


Wanawake wa DRC wanaomba amani iboreshwe nchini mwao.

Kundi la wanawake kutoka makabila mbali mbali eneo la Kivu kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC yalianza kampeni kwa makundi ya wapiganaji kwenye eneo hilo kuweka silaha zao chini na kufanya maridhiano ya kuleta amani miongoni mwa makabila hayo.

Mwandishi wa Sauti ya Amerika-VOA katika eneo la Kivu kaskazini aliripoti kwamba kila kabila huko limekuwa na kundi lake kama walinzi na hiyo inaonekana kuwa chanzo cha vita vinavyotokea huko mara kwa mara.

please wait

No media source currently available

0:00 0:02:50 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

XS
SM
MD
LG