No media source currently available
Wakazi wa vijiji vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vilivyokuwa vimevamiwa na waasi wa M23 wameanza kurejea katika nyumba zao baada ya jeshi la DRC kudhibiti na kuyarejesha maeneo yote yaliyotekwa na waasi hao.