Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 06, 2024 Local time: 02:32

Wanamgambo wa Hamas Gaza warusha msururu wa roketi kote Israel

Wanamgambo wa Hamas wakirusha makombora Israel (AP/Hatem Moussa)
Wanamgambo wa Hamas wakirusha makombora Israel (AP/Hatem Moussa)

Wanamgambo wa Hamas katika Ukanda wa Gaza walirusha msururu wa roketi leo Jumatatu, na kusababisha ving'ora vya mashambulizi ya anga kusikika kote Israel.

Wanamgambo wa Hamas katika Ukanda wa Gaza walirusha msururu wa roketi leo Jumatatu, na kusababisha ving'ora vya mashambulizi ya anga kusikika kote Israel.

Hakuna taarifa zozote za uharibifu au vifo kutoka kwenye roketi hizo, ambazo Hamas imeendelea kuzitumia kuilenga Israel huku wanajeshi wa Israel wakifanya mashambulizi ya kuwaondoa Hamas huko Gaza.

Mashambulizi ya Israel huko Gaza yaliendelea Jumatatu kwa operesheni za ardhini na mashambulizi ya anga, ikiwa ni pamoja na kile Jeshi la Ulinzi la Israel lilisema ni shambulio lililomuua kamanda wa Hamas ambaye alisaidia kuongoza wapiganaji waliohusika na shambulio la kigaidi la Oktoba 7 kusini mwa Israel.

Forum

XS
SM
MD
LG