Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Juni 09, 2023 Local time: 15:14

Wanamgambo wa Alshabab washukiwa kwa utekaji nyara Kenya.


Wanamgambo wa Al-Shabab

Utekaji wa nyara watatu nchini Kenya maafisa wawashuku wanamgambo wa Alshabab.

Maafisa wa Kenya wanasema wanawashuku wanamgambo wa Alshabab wanahusika na utekaji nyara wa wafanyakazi wawili wa huduma wa Ulaya jana utekaji nyara wa tatu wa wageni karibu na mpaka wa Kenya na Somalia katika mwezi uliopita.

Polisi wanasema watu wenye silaha waliwakamta wafanyakazi hao wawili wa huduma kutoka kwenye kambi kubwa ya wakimbizi kaskazini mwa Kenya. Mpaka sasa hakuna ripoti za kudai fidia au matakwa mengine kutoka kwa watu hao wenye silaha.

Kundi la Doctors without Borders lilithibitisha wafanyakazi wake wawili walitekwa jana wote waspanish kwenye kambi ya wakimbizi ya Dadaab kwenye kambi mpya iliyofunguliwa hivi karibuni Info 3.

XS
SM
MD
LG