Wanajeshi wa Ukraine waliojeruhiwa katika vita wanahitaji matibabu makubwa
Madaktari wanasema asilimia 17 ya wanajeshi wa Ukraine waliojeruhiwa katika vita vya uvamizi wa Russia nchini Ukraine wanamajeraha yanayohitaji matibabu ya hali ya juu. Endelea kusikiliza ni kinafanyika kukabiliana na hali hiyo na ni wapi wanajeshi hao wanatarajiwa kupatiwa matibabu....