Waandamanaji wanaopinga mapinduzi ya kijeshi nchini Myanmar wakichoma nakala za katiba ya nchi hiyo wakati kikundi cha wabunge walioondolewa madarakani na utawala wa kijeshi wakitangaza serikali mpya ya kiraia kuwa itaendesha nchi sambamba na utawala wa Jeshi.
Facebook Forum