Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Juni 13, 2025 Local time: 07:51

Wakulima wenye hasira wafunga barabara Paris


Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron

Wakulima walikuwa wakitumia mamia ya matrekta ya kutengenezea mbao na trekta zilizobeba nyasi kufunga barabara kuu zinazoelekea mji mkuu wa Ufaransa.

lengo lao ni kutaka kuishinikiza serikali juu ya mustakabali wa kazi yao, ambayo imetikiswa na athari za vita vya Ukraine.

Kuzuia njia kuu inayozunguka mji wa Paris mwenyeji wa Olimpiki wakati wa Majira ya joto katika miezi sita ijayo - na maandamano mahali pengine nchini Ufaransa imetoachangamoto kuu kwa Waziri Mkuu mpya Gabriel Attal, chini ya mwezi mmoja kuanza kazi.

Serikali ya Attal ilitarajiwa kutangaza hatua mpya Jumanne kufuatia mazungumzo na vyama vya wakulima, baada ya hatua za kuunga mkono kilimo zilizozinduliwa wiki iliyopita kukiuka matakwa yao kwamba uzalishaji wa chakula unapaswa kuwa wa faida zaidi, rahisi na wa haki.

Forum

XS
SM
MD
LG