No media source currently available
Idara huru ya kusimamia midahalo ya urais Marekani imeeleza itachukuwa hatua za haraka kufanya marekebisho ya utaratibu wa midahalo kutokana na ule kati ya Rais Donald Trump na Makamu wa Rais wa zamani Joe Biden kukosolewa.
Ona maoni
Facebook Forum