No media source currently available
Wakenya watoa maoni yao juu ya mtafaruku ulioko baina ya viongozi wa juu wa taifa hilo, Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wake William Ruto.