Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 22:46

Wakenya wahamishwa kuchagua viongozi wasio na ubinafsi


Wakenya wahamishwa kuchagua viongozi wasio na ubinafsi
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:01 0:00

Kampeni ya kuwahamasisha wananchi wa Kenya kupigania haki zao na kuchagua viongozi wasiokuwa wabinafsi imezinduliwa Nairobi na itaelekea katika maeneo mengine ya nchi hiyo.

XS
SM
MD
LG