Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Oktoba 01, 2022 Local time: 05:55

Wakazi wa Pakistan wakikabiliana na aina ya mafuriko ambayo hayajawahi kutokea


Wakazi wa Pakistan wakikabiliana na aina ya mafuriko ambayo hayajawahi kutokea
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:41 0:00

Video inaonyesha madaraja yaliyovunjika na mafuriko yanayotokana na mvua kubwa za msimu wa monsoon zinazoendelea kuwaathiri wakazi wa Pakistan.

Wahandisi wanaendelea kutengeneza barabara kaskazini magharibi mwa Pakistan, huko Kalam eneo la mapumziko ya watalii, ambapo Mto Swat ulifurika na kuharibu darzeni za nyumba na kubomoa mahoteli, ikiwemo hoteli maarufu ya New Honeymoon. Kulikuwa hakuna waliofariki kwani watalii na wafanyakazi waliondoka hotelini kufuatia maagizo ya serikali watu kuondoka katika maeneo hayo, na wakazi wa Kalam walisema bado mitaa mingi imefurika maji.

Picha hizi Jumatano zilionyesha maji ya mafuriko yakipita katika maeneo ya makazi mbalimbali na ya biashara huko Kalam, ambako watu wanatumia madaraja ya muda yaliyokarabatiwa kuvuka Mto Swat. Wakazi wa Kalam walisema mitaa mingi katika mji wao ilikuwa bado imefurika maji.

XS
SM
MD
LG