Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Julai 15, 2024 Local time: 08:31

Walioshindwa Marekani wana nafasi ya kujikomboa?


Mmoja wa wagombea urais kwa chama cha Demokrat Bernie Sanders akihutubia wafuasi wake katika Jimbo la Vermont.
Mmoja wa wagombea urais kwa chama cha Demokrat Bernie Sanders akihutubia wafuasi wake katika Jimbo la Vermont.

Baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa awali,maarufu kama wa SuperTuesday siku ya Jumanne, Hillary Clinton wa chama cha demokrat na mafanyabiashara mashuhuri Donald Trump wameonyesha ushindani mkubwa kwa wapinzani wao.

please wait

No media source currently available

0:00 0:03:29 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Swali kuu linalobaikia sasa ni kuelewa uamuzi watakaouchukua wale watajipata wakiwa na kura zisizowaridhisha wadhamini wao. Itabaki kuonekana kama wataamua kujiondoa au kuendelea na kampeni hizo ambazo zimeonyesha ushindani mkali.

XS
SM
MD
LG