Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Julai 18, 2024 Local time: 18:03

Wafuatiliaji wa uchaguzi wakosoa uchaguzi DRC


Waunga mkono wa kiongozi wa upinzani Ettiene Tshisekedi wakionyesha walichodai ni nakala za wizi za makaratasi ya kupigia kura.
Waunga mkono wa kiongozi wa upinzani Ettiene Tshisekedi wakionyesha walichodai ni nakala za wizi za makaratasi ya kupigia kura.

Ripoti ya awali ya Umoja wa Ulaya inasema waangalizi wa uchaguzi walisema wameona masanduku yakiwa yameshajazwa kura

Umoja wa Mataifa unataka kuwepo na utulivu katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo baada ya waangalizi wa Ulaya kutangaza matatizo katika upigaji kura mapema wiki hii. Mkuu wa tume ya Umoja wa Mataifa Roger Meece alisema malalamiko yoyote lazima yatangazwe kupitia njia za amani. Ripoti ya awali ya Umoja wa Ulaya inasema waangalizi wa uchaguzi walisema wameona masanduku yakiwa yameshajazwa kura na kwingine hayakuwepo ambapo baadhi ya watu walirudishwa na kuzuiwa kupiga kura.

XS
SM
MD
LG