Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Machi 21, 2023 Local time: 16:47

Wafanyakazi kupoteza ajira sekta ya kilimo cha chai Kenya


Wafanyakazi kupoteza ajira sekta ya kilimo cha chai Kenya
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:05 0:00

Sekta ya kilimo cha chai Kenya inakabiliwa na kupotea kwa nafasi za ajira baada ya mahakama kutoa uamuzi dhidi ya jaribio la chama cha wafanyakazi kuzuia matumizi ya machine za kuvuna majani ya chai.

XS
SM
MD
LG