Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Novemba 26, 2022 Local time: 14:44

Waasi warepotiwa kuua mama, mtoto na kuteka wauguzi DRC


Waasi warepotiwa kuua mama, mtoto na kuteka wauguzi DRC
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:57 0:00

Watu wenye silaha wavamia hospitali muhimu ya Kabasha, malori na maduka ya wananchi nyakati za usiku na kumuua mama moja na mtoto mchanga kwa kuwapiga risasi.

Pia watu hao wanaodhaniwa kuwa waasi wa ADF waliwateka wauguzi wawili wa kituo cha afya na wakaazi wengine zaidi ya kumi ambao hawajulikani waliko. Sikiliza repoti kamili kuhusu hatua inayochukuliwa na jeshi la DRC likishirikiana na jeshi la wananchi wa Uganda...

XS
SM
MD
LG