Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Desemba 10, 2022 Local time: 02:07

Waasi wa ADF watuhumiwa kuua raia na kuchoma moto hospitali Beni, DRC


Waasi wa ADF watuhumiwa kuua raia na kuchoma moto hospitali Beni, DRC
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:27 0:00

Wananchi walazimika kuhama makazi yao baada ya waasi wanaodhaniwa wanafungamana na kundi la kigaidi la ADF kufanya mashambulizi katika mji wa Maboya ulioko kusini ya Beni, DRC na kufanya mauaji pamoja na kuchoma hospitali muhimu katika eneo hilo.

XS
SM
MD
LG