Wanachama wa miungano hiyo walifanya maandamano nje ya jengo la Netflix, Los Angeles na kuwasifia vongozi wao walioitisha mgomo huo.
Mgomo huo ni wa kwanza kwa watengenezaji wa filamu na vipindi vya televisheni nchini Mrekani tangu mwkaa 1980.
Ni mara ya kwanza pia ambapo miungano miwili mikubwa ya wafanyakazi katika sekta ya filamu ya Hollywood kuungana katika mgomo tangu mwak 1960 wkti Ronld Reagan alikuwa rais wa muungano huo.
Muungano wa SAG-AFTRA unaakilisha zaidi ya waigizaji 160,000, watangazaji, miongoni mwa wengine.
Waanchama wa muungano wa WGA wamekuwa katika mgomo yangu mazungumzo yalipovunjika na mkataba wao kumalizika May taerehe 2.
Forum