Hii ilikuwa ni mwitikio wa hatua zake za msako mkali wanaoufanya nchini humo.
Tehran imekuwa ikijihusisha na msako wenye ghasia dhidi ya waandamanaji toka Septemba, ikijumuisha kufanya mauaji, na imeshikilia dazeni ya raia wa Ulaya.
EU imezidi kukosoa vikali sana kuhusu matendo yao.
Ushirikiano baina ya wanachama wa EU na Tehran pia umezorota katika miezi ya karibuni huku juhudi za kuanzisha mazungumzo ya mkataba wa nyuklia zikiwa zimesimama, na nchi hizo zimehamisha ndege zake zisizo na rubani kwa Russia kusaidia vita dhidi ya Ukraine.
Facebook Forum