Mgomo mkubwa ulifanyika nchini Uingereza ikihusisha makundi mbalimbali ya wafanyakazi wakiwemo watumishi waandamizi wa serikali na wafanyakazi wa huduma ya reli. Waalimu ni mara ya kwanza wamejiunga na mgomo.
- Wafanyakazi hao wameandamana wakishinikiza serikali kuwaongeza mshahara na kutengeneza mazingira bora zaidi ya kazi.