Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 08:27

Waafrika waliokuwepo katika maonyesho ya Las Vegas wavutiwa na teknolojia inayoendana na mazingira yao


Waafrika waliokuwepo katika maonyesho ya Las Vegas wavutiwa na teknolojia inayoendana na mazingira yao
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:05 0:00

Maonyesho ya Las Vegas, Nevada vilikuwepo vibanda zaidi ya 12,000 ambavyo vilikaribisha wavumbuzi 3200, zaidi wa waandishi wa habari 4,000 na wageni laki nne kulingana na waandaaji.

Maonyesho hayo yaliwapa wapenzi wa teknolojia kujaribu vyombo vipya vya teknolojia kukufanya uhisi uko katika eneo la tukio bila ya kusafiri. Waafrika waliokuwepo katika maonyesho hayo walivutiwa na teknolojia itakayoweza kutumika zaidi Afrika katika maeneo kama vile kilimo, fedha na uandishi wa habari. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili ya maonyesho haya...

XS
SM
MD
LG