Upatikanaji viungo

VOA60 Afrika

VOA60 Afrika: Boko Haram yatowa video inayoonyesha wasichana 15 wa Chibok wakiwa hai baada ya kutekwa nyara takriban miaka 2 iliyopita


Boko Haram yatowa video inayoonyesha wasichana 15 wa Chibok wakiwa hai baada ya kutekwa nyara takriban miaka 2 iliyopita; Na, Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari akutana na waziri mkuu wa China kutafuta msaada wa kufufa uchumi wa Nigeria.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG