No media source currently available
Dozi 60,000 za chanjo aina ya AstraZeneca chini ya mpango wa Umoja wa Mataifa wa COVAX zimewasili Goma, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatano na kukabidhiwa viongozi wa serikali wa Kivu kaskazini.
Ona maoni
Facebook Forum