Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 04:48

Vijana Kenya waanzisha mradi wa protini kwa wanyama


Vijana Kenya waanzisha mradi wa protini kwa wanyama
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:50 0:00

Vijana nchini Kenya wameanzisha mradi wa kuzalisha protini kwa ajili ya wanyama kwa kufuga wadudu wanaoruka kama nzi kwa ajili ya kusaidia lishe yenye afya kwa mifugo.

XS
SM
MD
LG