No media source currently available
Vijana nchini Burundi wamezindua mradi wa kitaifa wenye lengo la kubadilisha taswira ya nchi hiyo huku ikiwa ni juhudi ya kuitangaza nchi yao kwa kutumia mitandao ya kijamii kuwavutia watalii.