Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 06, 2023 Local time: 07:37

Kura ya Ujerumani inaweza kuharibu uhusiano na Uturuki


Rais wa Armenia, Serzh Sargsyan.
Rais wa Armenia, Serzh Sargsyan.

Viongozi wa Uturuki wameisihi Ujerumani kwamba uhusiano wa nchi hizo utaharibika kama wabunge watapitisha hatua inayowatangaza kuuwawa kwa Warmenia na Waturuki wa Ottoman kama mauaji ya halaiki.

Bunge la Ujerumani linatarajiwa kupiga kura alhamisi.

Andiko hilo linaeleza kwamba vifo vya Warmenia ni mfano wa mauaji ya halaiki, kuondoa kabila fulani na mauaji ya haliki ambayo yalikuwpo katika karne ya mwisho yalikuwa mabaya. Pia inawapa wajibu fulani Ujerumani ambao walikuwa washirika wa utawala wa Ottoman ambao ulikuwapo kabla ya Uturuki ya sasa.

XS
SM
MD
LG